Kurasa za mbela za magazeti ya michezo pamoja na yale mengine yasiyo ya michezo kupitia kurasa zake za nyuma, yameendelea kuupa msisitizo mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya watani wa Jadi, Simba na Yanga.
Habari nyingine kubwa ni kuwasili kisiwani Pemba kwa kiungo mkabaji wa Yanga, Papi Kabamba Tshishimbi.
Habari nyingine iliyopewa kipaumbele ni kuhusu kumalizika kwa sakata la jengo la Yanga ambapo sasa Serikali imeridhia Yanga kulipa deni ndani ya mwaka mmoja.

ADVERTISE HERE