Yanga yerejea mazoezini kuiwinda KMC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Oct 2018
Yanga yerejea mazoezini kuiwinda KMC
Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini leo kwenye uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi unaofuata dhidi ya KMC.

Mchezo huo ambao Yanga itakuwa ugenini, utapigwa kwenye uwanja wa Taifa Alhamisi, Oktoba 25 2018.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, kiungo Papi Tshishimbi na Baruani Akilimali wameungana na Juma Mahadhi kwenye orodha ya wachezaji majeruhi.

Tshishimbi alipata majeraha katika mchezo wa juzi dhidi ya Alliance.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’