Yanga inatarajiwa kushuka dimbani kesho Jumapili kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Jamhuri ya Pemba.
Huo utakuwa mchezo wa tatu kwa Yanga visiwani Zanzibar ambapo imeibuka na ushindi kwenye michezo yake miwili dhidi ya Mlandege na Chipukizi.
Katika mchezo huo kiungo mkabaji Papi Tshishimbi ambaye tayari amewasili kambini Pemba anatarajiwa kuonekana ndani ya uzi wa Yanga kwa mara ya kwanza.

ADVERTISE HERE