Ajib mgodi wa mabao Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Oct 2018
Ajib mgodi wa mabao Yanga
Hakuna shaka kwa sasa Ibrahim Ajib ndiye mchezaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara kutokana na mwenendo wake katika kikosi cha Yanga.

Baada ya kuhusika katika mabao yote matatu kwenye mchezo dhidi ya Alliance, mguu wa Ajib umehusika kwenye mabao 11 kati ya 14 yaliyofungwa na Yanga mpaka sasa.

Ajib ametengeneza mabao nane huku pia akifunga mabao matatu.

Si ajabu kuona baadhi ya timu zimeanza kuinyemelea sahihi yake baada ya kuonyesha ubora wa hali ya juu msimu huu.

Uongozi wa Yanga tayari umeanza mchakato wa kumpa mkataba mpya. Mkataba wake umalizika mwishoni mwa msimu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’