Yanga kamili kuikabili Alliance Fc kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Oct 2018
Yanga kamili kuikabili Alliance Fc kesho
Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Alliance Fc.

Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa na unatarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni.

Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake wajitokeze kwa wingi kwenye mchezo huo ili kuwapa wachezaji hamasa ili waibuke na ushindi mnono.

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema wachezaji wote waliokambini wako tayari kwa mchezo huo na hakuna majeruhi.

"Kwa upande wetu kila kitu kimekamilika,tunasubiri dakika 90 za mchezo na hatuna majeruhi yeyote kwa wachezaji waliokambini

"Tunatarajia kuwa na mchezo mzuri sana hapo kesho ni imani yangu kuwa tutaibuka na ushindi na kupata point tatu muimu kwetu," amesema

Viingilio vya mchezo huo;

VIP A - Tsh 15,000/-
VIP B na C - Tsh 10,000/-
Mzunguuko - Tsh 5,000/-
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’