Baada ya hapo jana Yanga Queens kutinga fainali na kujihakikishia kupanda ligi Kuu soka la Wanawake, leo inashuka kwenye uwanja wa Karume kuivaa Tanzanite Queens ya Arusha kwenye mchezo wa fainali ligi daraja la kwanza.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa tisa na nusu Alasiri.
Mashabiki wa Yanga wametakiwa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Karume kuwapa sapoti akina dada hao ili waweze kushinda mchezo huo.

ADVERTISE HERE