Tshishimbi atua rasmi Pemba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Aug 2017
Tshishimbi atua rasmi Pemba
Kiungo mkabaji wa Yanga, Kabamba Tshishimbi ametua rasmi Pemba kujiunga na kikosi cha Yanga kilichoweka kambi kisiwani humo.

Baada ya kumalizana na Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwili, Tshishimbi alipewa ruhusu kukamilisha mambo yake binafsi kabla hajajiunga na kambi.

Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina amefurahia kuwasili kwa Tshishimbi kwa kusema hofu yake sasa imetoweka baada ya kumuona kambini kiungo huyo.

"Ukweli nilikuwa na hofu sana kabla ya Tshishimbi kuja lakini baada ya kumuona kambini jana, nimepata tumaini jipya nikiwa na uhakika wa kukutana na timu yoyote bila kuihofia,"amesema Lwandamina.

Tshishimbi ni mmoja wa wachezaji waliohitajika zaidi na kocha Lwandamina. Ni yeye aliyependekeza kusajiliwa kwa mchezaji huyo na alikuwa akimfuatilia katika michezo mbalimbali ya Mbabane Swallows
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’