Timu ya wanawake ya yanga (Yanga Princes) imefanikiwa kupanda ligi kuu ya Wanawake Serengeti lite Premier League baada ya leo Asubuhi kufanikiwa kushinda mechi za nusu fainali.
Yanga Princes wameifunga Mapinduzi Queens kwa penati (4-3) baada ya dakika 90 kuisha kwa sare ya kufungana goli (1-1).
Uongozi wa Yanga umeipongeza timu hiyo kwa kufanikiwa kupanda daraja.
"Kwa niaba ya Uongozi Kaimu katibu Mkuu ameipongeza sana Timu yetu ya wanawake kwani haya ni mafanikio chanya kwenye soka la wanawake kwa upande wa vilabu hapa nchini," imesema taarifa ya uongozi wa Yanga

ADVERTISE HERE