Winga mpya wa Yanga Baruan Yahya anaamini Yanga ndiyo timu yenye kikosi bora msimu huu na amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba Jumatano ijayo.
Baruan aliyesajiliwa na Yanga akitokea masomoni nchini Uganda amekabidhiwa jezi namba 27 iliyokuwa inavaliwa na winga wa zamani wa timu hiyo Simon Msuva.
Baruan ameeleza kupata maumivu ya misuli katika mazoezi ya jana lakini tayari amesharejea kikosini baada ya daktari wa timu kumruhusu.
Yanga bado iko Pemba ikiendelea na maandalizi ya mchezo wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kupigwa August 23.

ADVERTISE HERE