Leo imetimia miaka 19 tangu Tanzania impoteze mwasisi wake Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere aliyefariki nchini Uingereza Oktoba 14, 1999.
Pumzika kwa Amani Baba wa Taifa mpigania haki na mtetezi wa Wanyonge.
Pumzika kwa Amani Baba wa Taifa mpigania haki na mtetezi wa Wanyonge.
ADVERTISE HERE