Kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam leo kutoka visiwani Zanzibar ambako kilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Malindi Fc.
Mchezo huo uliopigwa dimba la Amaan jana jioni ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Mabao ya Yanga yaifungwa na washambuliaji wa pembeni, Emmanuel Martin na Mrisho Ngasa kwenye kila kipindi.
Yanga inarejea Dar kuendelea na maandalizi ya mchezo unaofuata wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Alliance utakaopigwa Jumamosi ijayo Oktoba 20 saa moja jioni kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE