Licha kufundishwa na makocha wengi, Meneja wa Yanga Nadir Haroub amemwagia sifa Charles Mkwasa, kocha na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga.
Akizungumza jana baada ya mchezo wa kumuaga uliofanyika visiwani Zanzibar kati ya Malindi dhidi ya Yanga, Nadir amesema Mkwasa ndiye kocha bora aliyewahi kufanya nae kazi.
"Nimefanya kazi na makocha wengi. Wote nawaheshimu kwani waliweza kunisaidia kufikia mafanikio niliyoyapata. Lakini Mkwasa naweza kusema ndio kocha bora niliyewahi kufanya nae kazi," amesema.
Nae Kocha Burhani Msoma aliyewahi kumfundisha Nadir kwenye timu ya Taifa ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes' amesema nidhamu pamoja na kujituma kwake ndio siri ya mafanikio ya Nadir.

ADVERTISE HERE