Yanga safarini Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Oct 2018
Yanga safarini Zanzibar
Kikosi cha Yanga kimeondoka leo asubuhi kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Malindi Fc.

Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi, Oktoba 13 kwenye uwanja wa Amaan saa kumi kamili jioni na utarushwa mbashara na Azam TV.

Mchezo huo ni maalum kwa ajili ya kumuaga mkongwe Nadir Haroub ambaye hakuagwa visiwani Zanzibar wakati alipostaafu kusakata kabumbu kisha kukabidhiwa majukumu ya Umeneja wa Yanga.

Nadir alizaliwa Zanzibar na alianza kucheza soka visiwani humo kabla ya kuvuka maji kuja Tanzania Bara mwaka 2006 kujiunga na Yanga.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
49m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’