Yanga kwenda Zanzibar Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2018
Yanga kwenda Zanzibar Ijumaa
Wachezaji 20 wa kikosi cha Yanga wanatarajiwa kuondoka kesho kuelekea visiwani Zanzibar kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Malindi maalum kwa ajili ya kumuaga mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro'.

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Oktoba 13 saa 10 kamili jioni kwenye dimba la Amani.

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omary Kaya amesema watautumia mchezo huo kama sahemu ya maandalizi ya mchezo ujao wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Alliance utakaopigwa Oktoba 20, uwanja wa taifa.

Amesema benchi la ufundi litawapa nafasi wachezaji ambao wamekuwa hawatumiki mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza ili kuangalia uwezekano wa kuwatumia kwenye michezo ijayo

Pia mchezo huo utatoa nafasi kwa Nadir kuagwa visiwani Zanzibar, sehemu aliyozaliwa na kuanzia kusakata kabumbu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’