Bilionea wa Simba Mo Dewji atekwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2018
Bilionea wa Simba Mo Dewji atekwa
Taarifa zilizopatikana asubuhi hii zimebainisha kuwa mwekezaji wa klabu ya Simba, Mfanyabishara Mohammed Dewji 'MO' ametekwa na watu wasiojulikana wakati anaingia Gym ya Coliseum.

Tukio hilo linadaiwa kutokea asubuhi ya leo wakati Bilionea huyo akiingia katika Gym hiyo ambayo amekuwa akiitumia kila siku.

Watekaji wanadaiwa kutumia silaha za moto na kuwazidi nguvu walinzi binafsi wa MO.

Tukio hilo linadaiwa kutokea saa 11 Alfajiri na limethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Kinondoni Jumanne Muliro.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’