Waarabu wamtaka Ajib

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
10 Oct 2018
Waarabu wamtaka Ajib
Baada ya kuwa na mafanikio msimu huu ndani ya Yanga, mshambuliaji Ibrahim Ajib anatakiwa na timu kutoka Uarabuni.

Kijana huyo amekuwa ma­hiri msimu huu na hadi sasa ameshatoa pasi sita za mabao na kufunga mawili, akiwa ndiye mchezaji hatari zaidi kwa sasa kwenye ligi.

Yanga imecheza michezo sita kwenye ligi kuu huku wakishinda michezo mitano na kutoa sare moja huku Ajibu akiwa msaada kwenye mechi hizo.

Kulingana na gazeti la Championi Jumatano, Meneja wa Ajib, Athu­man Ajibu, amesema kuwa mcheza­ji huyo amepata ofa nyingi kutoka kwenye timu za Uarabuni.

“Kwa sasa nimekuwa nikiongea na wamiliki wa timu mbalimbali ambao wanamfuatilia Ajibu.

"Wapo wale wa ndani ya nchi ambao nao kupitia mawakala wao nimeongea nao wakione­sha kukubali uwezo wa Ajibu ila nimeshindwa kuwakubalia kwa kuwa bado ni mali ya Yanga kwa sasa.

“Kuna timu tano, ambazo zimeleta ofa ikiwa ni pamoja na timu moja iliyopo Afrika Kusini na nyingine ipo Uarabuni, naamini kuwa anaweza kwenda kokote.

"Aidha Afrika Kusini au Uar­abuni lakini kwa makubaliano na Yanga,” alisema meneja huyu ambaye ni ndugu wa mchezaji huyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE →
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE →
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE →
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE →
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE →
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE →
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE →