Majeruhi yamkosesha Chikupe safari ya Cape Verde

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2018
Majeruhi yamkosesha Chikupe safari ya Cape Verde
Beki kisiki wa Yanga Andrew Vicent Chikupe ambaye yuko katika kiwango bora kabisa hakuwa miongoni mwa wachezaji 22 wa timu ya Taifa waliosafiri kwenda Cape Verde.

Chikupe alipata majeraha kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon uliopigwa Jumapili iliyopita katika dimba la Taifa.

Jana asubuhi alishindwa kufanya mazoezi ya mwisho ya Stars yaliyokuwa yakifanyika JMK Park hivyo kulazimika aondolewe kwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa kusafiri.

Mchezaji mwingine aliyekuwa na hatihati ya kukosa safari hiyo alikuwa mlinda lango Beno Kakolanya ambaye pia alipata majeraha kwenye mchezo dhidi ya African Lyon.

Hata hivyo baada ya kujiridhisha na hali yake, benchi la ufundi la Stars lilimjumuisha kwenye safari hiyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’