Tarehe kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa kiongozi wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Yanga Dismas Ten.
Ten amejitofautisha na wenzake wenye cheo kama chake kutoka timu nyingine kutokana na aina yake ya uendeshaji wa mambo kisomi zaidi.
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake.
HAPPY BIRTHDAY DISMAS TEN

ADVERTISE HERE