Wachezaji 26 Stars waondoka kuifuata Cape Verde

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2018
Wachezaji 26 Stars waondoka kuifuata Cape Verde
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeondoka Alfajiri ya leo Jumatano, Oktoba 10 2018 kuelekea visiwa vya Cape verde kwa ajili ya mchezo dhidi ya wenyeji wao, Cape Verde.

Mchezo huo wa kusaka tiketi ya kufuzu kwa fainali za michuano ya AFCON 2019 utapigwa keshokutwa Ijumaa, Oktoba 12 2018.

Stars imeondoka na msafara wa wachezaji 22 huku wengine wanne wakitarajiwa kuungana na timu hukohuko Cape Verde.

Baadhi ya wachezaji waliokosekana katika msafara huo ni pamoja na Andrew Vicent na Jonas Mkude ambao ni majeruhi.

Hiki hapa kikosi kamili kilichosafiri

Magolikipa

Aishi Manula
Benno Kakolanya
Aron Kalambo
Benedict Tinoco

Mabeki

Shomary Kapombe
Hassan Kessy
Salum Kimenya
Gadiel Michael
Ally Sonso
Paul Ngalema
Kelvin Yondani
Abdallah Kheri
Abdi Banda
David Mwantika
Agrey Morris

Viungo

Himid Mao
Mudathir Yahya
Feisal Salum
Saimon Msuva
Farid Mussa

Washambuliaji

Mbwana Samatta
Jonh Bocco
Thomas Ulimwengu
Rashid Mandawa
Yahya Zayd
Shaban Chilunda

Wachezaji wanne Mbwana Samatta, Saimon Msuva, Farid Mussa na Shabaan Idd Chilunda wao watajiunga na timu huko huko Cape Verde..
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’