Afya ya Tshishimbi imeimarika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2018
Afya ya Tshishimbi imeimarika
Kiungo Papi Tshishimbi alikosa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC jana kutokana na majeruhi aliyopata mazoezini.

Tshishimbi aliumia mazoezini siku mbili kabla ya mchezo huo na kupelekea ashindwe kuwa sehemu ya kikosi kilichopata ushindi muhimu wa mabao 2-0 uwanja wa Taifa jana.

Mratibu wa Yanga hafidh Saleh amesema Tshishimbi amepona majeraha yake na ataweza kutumika ligi itakaporejea baada ya michezo ya Kimataifa

Kiungo Raphael Daudi Lothi aliyekuwa mbadala wake kwenye mchezo wa jana alifunga moja ya mabao ya Yanga.

Kukosekana kwake pia kulitoa nafasi kwa kiungo fundi Thabani Kamusoko aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Matheo Anthony na kucheza sambamba na Fei Toto na Lothi.

Kamusoko aliweza kuongeza uhai kwenye safu ya kiungo ya Yanga iliyokuwa imeelemewa na viungo wa Mbao FC kabla ya kuingia kwake.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’