Kakolanya yuko sawa, arejea kambi ya timu ya Taifa sambamba na Yondani, Chikupe, Fei Toto na Gadiel

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2018
Kakolanya yuko sawa, arejea kambi ya timu ya Taifa sambamba na Yondani, Chikupe, Fei Toto na Gadiel
Mlinda lango namba moja wa Yanga Beno Kakolanya jana alishindwa kumaliza mchezo dhidi ya Mbao FC baada ya kuumia.

Kakolanya alipata maumivu ya nyuma ya paja kwenye kipindi cha kwanza wakati akiondoa moja ya mipira ya langoni.

Kakolanya alishindwa kuendelea na mchezo kwenye dakika ya 55 na nafasi yake kuchukuliwa na Klaus Kindoki.

Taarifa njema ni kwamba Kakolanya anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu hapo jana na tayari amerejea kwenye kambi ya timu ya Taifa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’