Licha ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC leo, Mtibwa Sugar imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kufikisha alama 17.
Singida United imepanda hadi nafasi ya pili baada ya kuilaza Ndanda FC mabao 3-1 kwenye mchezo ambao Habibu Kiyombo alifunga mabao mawili na kumfanya afikishe mabao matano msimu huu.
Matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;

Kesho Jumapili mabingwa wa kihistoria Tanzania, Yanga wanashuka kwenye uwanja wa Taifa kupepetana na Mbao FC.
Huo utakuwa mchezo wa sita kwa Yanga msimu huu huku baadhi ya timu zikiwa tayari zimeshuka dimbani mara tisa.

ADVERTISE HERE