Tarehe kama ya leo alizaliwa kiungo, fundi wa mpira Pius Charles Buswita.
Buswita aliyetua Yanga msimu uliopita akitokea Mbao FC ni miongoni mwa wachezaji hazina kubwa katika kikosi cha Mwinyi Zahera.
Msimu huu amekabiliwa na ushindani mkali wa kupata namba kwenye kikosi cha kwanza lakini hakuna shaka wakati wake utafika.
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu, Mwenye ez Mungu amjaalie umri mrefu aweze kutimiza ndoto zake.
HAPPY BIRTHDAY PIUS BUSWITA....!

ADVERTISE HERE