Kiungo wa Simba James Kotei amemuomba radhi beki wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael kufuatia kumfanyia tukio lisilo la kiungwana kwenye mchezo wa watani wa jadi uliopigwa Jumapili iliyopita kwenye uwanja wa Taifa.
Kotei pia amewaomba radhi wapenzi na mashabiki wote wa soka nchini kutokana na tukio hilo ambalo halikuwa la kimicheza.
Amesema hatarudia kufanya tukio hilo tena.
Naye Gadiel amesema amemsamehe kiungo huyo na ameridhika na kufurahishwa na uungwana wake ambao ameuonyesha.

ADVERTISE HERE