Zahera aibuka kocha bora wa TPL Septemba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2018
Zahera aibuka kocha bora wa TPL Septemba
Kamati ya Tuzo za Wachezaji Bora Ligi Kuu Tanzania Bara, imeanzisha tuzo mpya ya Kocha Bora wa mwezi itakayokuwa inatolewa kila mwezi kwa lengo la kutambua mchango wa kocha husika katika ligi hiyo.

Makocha wa Mbao FC na Yanga wamekuwa wa kwanza kupata tuzo hiyo iliyoanza kutolewa rasmi kuanzia mwezi wa nane.



Amri Saidi wa Mbao ameibuka kuwa kocha bora wa mwezi wa nane wakati Mwinyi Zahera wa Yanga ameibuka kuwa kocha bora kwa mwezi wa tisa.

Zahera ameibuka kuwa mshindi wa tuzo hiyo mwezi wa tisa baada ya kuiongoza Yanga kushinda michezo mitatu na kutoka sare mchezo mmoja.

Aidha Eliudi Ambokile wa Mbeya City ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi wa tisa.

Ambokile ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Ibrahim Ajibu wa Yanga na Stamili Mbonde wa Mtibwa Sugar alioingia nao fainali katika uchambuzi uliofanywa Dar es Salaam wiki hii na Kamati ya Tuzo ya TPL
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’