Zahera atimka DRC kuungana na timu ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2018
Zahera atimka DRC kuungana na timu ya Taifa
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera hatakuwepo kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbao Fc utakaopigwa Jumapili ijayo katika uwanja wa taifa.

Zahera amekwenda DR Congo kutimiza majukumu ya timu ya Taifa yeye akiwa ni kocha msaidizi wa timu hiyo.

Benchi la Ufundi la Yanga litakuwa chini ya Noel Mwandila ambaye anatekeleza majukumu akiwa kocha msaidizi.

Hata hivyo Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewahakikishia WanaYanga kuwa kutokuwepo kwa Zahera hakutaathiri kikosi chao kwenye mchezo dhidi ya Mbao.

Amesema Zahera tayari amefanya kazi yake ipasavyo kuhakikisha Yanga inafanya vizuri kwenye mchezo huo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’