TFF yathibitisha, michezo ya Yanga, Simba na Azam Fc itapigwa kama kawaida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Oct 2018
TFF yathibitisha, michezo ya Yanga, Simba na Azam Fc itapigwa kama kawaida
Shirikisho la soka nchini (TFF) limethibitisha kuwa michezo ya ligi kuu ya Tanzania Bara iliyopangwa kupigwa wikiendi ijayo itachezwa kama ilivyopangwa tofauti na taarifa iliyotolewa hapo jana.

Aidha wachezaji wa timu ya Taifa ambao wametoka timu za Yanga, Simba na Azam FC wataruhusiwa kuzitumikia timu zao katika michezo hiyo kisha kurejea kwenye kambi ya timu ya taifa.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’