Tarehe kama ya leo alizaliwa kiungo chipukizi, fundi Maka Edward, mmoja wachezaji hazina ya Yanga.
Maka alipandishwa kikosi cha kwanza msimu uliopita.
Licha ya kuwa bado hajapata nafasi ya kucheza tangu kuwasili kwa kocha Mwinyi Zahera, hakuna shaka wakati wake utafika.
Happy BirthDay Maka Edward....!

ADVERTISE HERE