Mchezo dhidi ya Mbao uko pale pale - Ten

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Oct 2018
Mchezo dhidi ya Mbao uko pale pale - Ten
Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Mbao FC ambao ulipangwa kupigwa uwanja wa Taifa Jumapili ijayo, October 07, utachezwa kama ulivyopangwa.

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema hawana taarifa yoyote juu ya kuahirishwa kwa mchezo huo, wanachofahamu watacheza na Mbao Jumapili ijayo.

Kuhusu kukosekana kwa wachezaji watano kwenye kikosi cha Yanga ambao wako kwenye kambi ya timu ya Taifa inayojiandaa na michezo dhidi ya Cape Verde, Ten amesema wachezaji hao wataruhusiwa kuitumikia Yanga kwenye mchezo huo.

Tayari Beno Kakolanya, Gadiel Michael, Feisal Salum , Kelvin Yondani na Andrew Vicent wamejiunga na kambi ya timu ya Taifa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
46m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’