Ligi Kuu wa Tanzania Bara imeendelea leo mzunguuko wa nane kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali.
Mtibwa Sugar imefanikiwa kukwea kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuilaza Biashara United mabao 2-1.
Nayo Ruvu Shooting imeipapasa Mbao FC na kuishusha kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuichapa bao 1-0.
Haya hapa matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;

Katika hatua nyingine, Bodi ya ligi imefuta michezo mitatu, mchezo namba 83 kati ya Simba Sc dhidi ya African Lyon uliokuwa ufanyike october 06, mchezo namba 87 kati ya Yanga dhidi ya Mbao Fc na ule namba 90 kati ya Azam Fc dhidi ya Coastal Union kutokana na kuanza kwa kambi ya Timu ya Taifa kujiandaa na michezo miwili ya Kufuzu kwa Afcon 2019 dhidi ya Cape Verde.

ADVERTISE HERE