Beno Kakolanya amedhihirisha ubora wake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Sep 2018
Beno Kakolanya amedhihirisha ubora wake
Beno Kakolanya ameibuka kuwa nyota wa mchezo wa leo dhidi ya Simba baada ya kufanikiwa kuisaidia timu yake kuweza kuondoka na alama moja kwenye mchezo uliokuwa na mashambulizi mengi langoni kwa Yanga.

Haukuwa mchezo mwepesi kabisa kwa Yanga ambayo ilitumia mbinu ya kujihami zaidi huku ikiweka mshambuliaji mmoja mbele.

Hata hivyo licha ya kazi nzuri iliyofanywa na safu ya ulinzi ya Yanga, uhodari wa Beno langoni uliihakikishia Yanga alama moja muhimu.

Matokeo ya leo huenda yasifurahiwe na wengi lakini hakuna shaka alama moja iliyopatikana ni bora zaidi kuliko kama timu ingefungwa.

Simba iliingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na matumaini ya kuibuka na ushindi lakini uhodari wa vijana wa Jangwani wakiongozwa na Beno umefanikiwa kuurejesha mji kwenye hali ya utulivu
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’