Kikosi cha Yanga leo kimeingia siku ya tatu mkoani Morogoro kikiendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Taifa Jumapili ijayo, Septemba 30 2018.


















ADVERTISE HERE