Zahera alishawasoma Simba mapemaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2018
Zahera alishawasoma Simba mapemaa
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema hana hofu na mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Taifa siku ya Jumapili, Septemba 30.

Licha ya kutohudhuria mchezo wowote wa Simba, Zahera amesema amekuwa akiisoma timu hiyo kupitia mikanda ya video aliyoagiza apatiwe kila baada ya mchezo wao.

Mchezo wa Jumapili dhidi ya Simba ni wa kwanza kwa Zahera ambaye alitua Yanga mwishoni mwa msimu akichukua nafasi ya George Lwandamina aliyerudi klabu yake ya zamani ya ZESCO.

Zahera anaamini maandalizi wanayofanya kuelekea mchezo huo mkoani Morogoro yatawasaidia kuibuka na ushindi siku ya Jumapili.

Zahera amepania kuipa Yanga ushindi wake wa kwanza dhidi ya Simba katika kipindi cha misimu miwili iliyopita.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’