Ligi Kuu ya Tanzania Bara imeendelea leo mzunguuko wa sita kwa michezo mitatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali.
African Lyon iliyokuwa nyumbani uwanja wa Uhuru imekubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar.
Ndanda FC leo imelazwa mabao 3-1 na Stand United kwenye uwanja wake wa nyumbani, Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.
Mbao FC imeendeleza ubabe huko mkoani Mwanza baada ya kuichapa Prisons bao 1-0 kwenye mchezo uliopigwa dimba la CCM Kirumba.

Mbao Fc imerudi kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 13 ikiwa imeshuka dimbani mara sita.

ADVERTISE HERE