Kiungo fundi Feisal Salum 'Fei Toto' atakuwepo uwanja wa Taifa Septemba 30 kuivaa Simba katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Kulikuwa na sintofahamu juu ya idadi ya kadi za njano ambazo anazo kiungo huyo mahiri aliyesajiliwa na Yanga kutoka JKU ya Zanzibar
Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa Fei Toto ana kadi mbili za njano.
Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema Fei Toto ana sifa zote za kucheza mchezo dhidi ya Simba Septemba 30, maamuzi ya mwisho yakibaki kwa kocha Mwinyi Zahera
"Ukweli ni kwamba Feisal Salum ana kadi mbili za njano hivyo kumfanya awe na sifa za kucheza mchezo wa Jumapili kutegemeana na uamuzi wa kocha"

ADVERTISE HERE