Winga Geofrey Mwashiuya ameanza mazoezi mepesi baada ya kuwa nje kwa wiki kadhaa kutokana na majeruhi.
Kwenye mazoezi ya jana jioni Mwashiuya aliungana na wachezaji wengine kutekeleza program za mwalimu, yeye akifanya mazoezi maalumu.
Kipa Beno Kakolanya bado ni majeruhi wakati Youthe Rostand amerejea kikosi baada ya kupona majeraha
Obrey Chirwa bado ni majeruhi.

ADVERTISE HERE