African Lyon yalalamika kuhusu Rostand

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
16 Aug 2017
African Lyon yalalamika kuhusu Rostand
Klabu ya African Lyon imepeleka malalamiko kwa TFF ikizidai fidia klabu mbalimbali zilizosajili wachezaji wake 19 baada ya timu hiyo kushuka daraja.

Miongoni mwa waliolalamikiwa ni Mlinda lango Youthe Rostand aliyesajiliwa na Yanga.

Rostand amesajiliwa Yanga baada ya kipa huyo raia wa Cameroon kumaliza mkataba na Lyon. Kwa maana nyingine ni kwamba amesajikiwa akiwa mchezaji huru.

Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa amesema hakukuwa na kasoro yoyote katika usajili wa mchezaji huyo na ameshangazwa na madai ya kutaka fidia yanayotolewa na Lyon.

Baada ya kuteremka daraja African Lyon imepoteza karibu kikosi kizima kwani wachezaji 19 wamesajiliwa na timu mbalimbali zinazoshiriki ligi kuu ya Vodacom
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’