Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Singida United utapigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Taifa saa moja kamili jioni.
Kiingilio cha chini kabisa kuweza kuushuhudia mchezo huo ni Tsh 5,000/-, Mzunguuko.
VIP A ni Tsh 15,000/- wakati VIP B na C ni Tsh 10,000/-

ADVERTISE HERE