Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo inaingia raundi ya tano ambapo michezo sita inatarajiwa kupigwa kenye viwanja tofauti.
Mchezo unaosubiriwa kwa hamu ni kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union utakaopigwa kwenye dimba la Taifa saa moja jioni.

JKT Tanzania ndio inaongoza ligi ikiwa na alama nane, ikifuatiwa na Azam FC yenye alama saba sawa na Simba iliyo nafasi ya tatu.
Mbao FC, Mtibwa Sugar na Singida United nazo zimejikusanyia alama saba baada ya kushuka dimbani mara nne.
Yanga iko nafasi ya saba ikiwa imejikusanyia alama sita lakini imeshuka dimbani mara mbili tu.

ADVERTISE HERE