Mabingwa kihistoria wa Tanzania, Yanga leo saa moja usiku wanashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara mzunguuko wa tano.
Viingilio vya mchezo huo;
VIP A - 15,000/-
VIP B na C - 10,000/-
MZUNGUUKO - 5,000/-
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu yao iliyodhamiria kuondoka na alama zote tatu.

ADVERTISE HERE