Kesho Jumatano mabingwa wa kihistoria wa Tanzania, Yanga watashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa mzunguuko wa tano wa ligi kuu ya Tanzania Bara lakini ukiwa ni wa tatu kwa Yanga.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kuanzia saa moja kamili usiku kuwapa nafasi mashabiki wengi kuushuhudia baada ya kumaliza majukumu yao ya siku.
Michezo mingine ya ligi kuu ya Tanzania Bara ambayo itapigwa kesho ni kati ya Lipuli dhidi ya Alliance na Biashara United dhidi ya Azam FC.

ADVERTISE HERE