Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ametaja sababu ya kutompanga mlinda lango Benno Kakolanya kwenye mchezo wa leo dhidi ya Stand United.
Zahera amesema Kakolanya alichelewa kujiunga na kambi ya Yanga hivyo hakuwa amefanya mazoezi ya kutosha kabla ya mchezo huo.
Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 4-3 lakini kumekuwa na lawama nyingi zikimiminwa kwa mlinda lango Klaus Kindoki kuwa ameruhusu mabao mepesi.
Zahera ni kocha mwenye msimamo mkali, jana alimzuia mlinda lango Ramadhani Kabwili kufanya mazoezi baada ya kuchelewa.

ADVERTISE HERE