Simba yavutwa mkia Mtwara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Sep 2018
Simba yavutwa mkia Mtwara
Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo imeendelea kwa michezo sita kupigwa kwenye viwanja mbalimbali.

Huko Mtwara, licha ya kuwa na washambuliaji wake wote Meddie Kagere, John Bocco na Emmanuel Okwi, Simba imeshindwa kuipenya Ngome ya Ndanda FC baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo uliopigwa dimba la Nangwanda Sijaona.

Haya hapa matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;



Michezo miwili ya kukamilisha mzunguuko wa nne inatarajiwa kupigwa kesho Jumapili ambapo Yanga itashuka uwanja wa Taifa kuikabili Stand United.

Mbeya City na Alliance zitachuana kwenye mchezo mwingine utakaopigwa dimba la Sokoine mkoani Mbeya.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’