Kilichoongezwa kwenye toleo jipya la Mwana Jangwani

Admin By Admin
β€’
14 Sep 2018
Kilichoongezwa kwenye toleo jipya la Mwana Jangwani
Toleo la Mwana Jangwani namba 1.4.0 limewekwa Play Store ambapo tofauti na zamani, kwa sasa ni lazima kuwa na toleo linalokwenda na wakati ili kuendelea kuhabarika.

Kila toleo linakuwa na maboresho yake muhimu na ni hivyo hivyo kwa toleo namba 1.4.0

SASA UNAWEZA KUONDOA MATANGAZO

Uwepo wa matangazo kwenye App ni moja ya njia zinazoiwezesha Mwana Jangwani kuendelea kuwa hewani kwani kiasi kidogo cha malipo yanayopatikana katika matangazo hayo kinasaidia katika gharama za uendeshaji.

Lakini sasa toleo jipya limempa mtumiaji uwezo wa kuondoa matangazo hayo kwa MWAKA MZIMA kwa anayehitaji kwa kujiunga kupitia PLAY STORE.

Hivi karibuni kampuni ya Google inayomiliki PLAY STORE iliingia mkataba na kampuni za Mawasiliano za TIGO na VODACOM kuwawezesha watumiaji kupata huduma za kulipia zinazopatikana katika PLAY STORE.

Sasa unaweza kuondoa matangazo kwenye App yako MWAKA MZIMA kwa kujiunga na huduma hiyo kwa kulipia Tsh 2,200/- tu.

JINSI YA KUJIUNGA

Fungua ukurasa wa pembeni wa App yako, Bonyeza ONDOA MATANGAZO halafu fuata maelekezo yanayotolewa na PLAY STORE.



Kwa watumiaji wa Mtandao wa TIGO wanaweza kujiunga kupitia TIGOPESA wakati kwa wale wa VODACOM wanaweza kulipia huduma hiyo kupitia SALIO la simu.

Pia Vodacom kwa ushirikiano na kampuni ya MasterCard pamoja na benki ya BancABC wamezindua huduma inayomuwezesha mtumiaji yeyote wa huduma ya MPesa kuweza kutengeneza kadi ya MasterCard kwa njia ya M-Pesa na muda huo huo kuweza kuhamishia pesa kwenda akaunti hiyo na kisha kuweza kuanza kuitumia mara moja kufanya manunuzi mtandaoni.

Kwa sasa huduma hiyo inapatikana kwa watumiaji wa mitandao ya TIGO na MPESA.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’