Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omary Kaya amesema klabu hiyo imepokea awamu ya kwanza ya malipo kutoka Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kiasi cha Mil 150.
Yanga italipwa Mil 600 na Shirikisho hilo baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika.
Aidha kulingana na Kaya, Yanga inatarajiwa kupokea fedha nyingine kiasi cha Mil 450 kwenye awamu tatu tofauti.

ADVERTISE HERE