Uchaguzi Yanga bado

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Sep 2018
Uchaguzi Yanga bado
Katibu wa Matawi ya klabu ya Yanga Bakili Makele amesema uongozi wa timu hiyo bado uko kwenye mchakato wa kuandaa uchaguzi wa kujaza nafasi zilizowazi.

Makele amesema mchakato huo ukikamilika watatangaza tarehe rasmi ya kufanyika uchaguzi huo.

Hivi karibuni Shirikisho la soka nchini (TFF) lilivita vilabu vya Simba na Yanga siku 75 vihakikishe vimefanya uchaguzi wa kuwapata viongozi au kujaza nafasi zilizowazi.

Wakati Simba ikiwa mbioni kufanya uchaguzi Novemba 03, Makele amesema Yanga haitafanya uchaguzi kwa kuiga bali watafanya kwa mujibu wa taratibu zao.

Yanga itafanya uchaguzi wa kujaza nafasi za Kaimu Mwenyekiti na Wajumbe wawili wa Kamati ya Utendaji baada ya viongozi hao kujiuzulu nafasi zao.

Nafasi ya Mwenyekiti imeondolewa kwenye kinyan'ganyiro hicho baada ya Yusufu Manji kurejea katika kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’