Yondani aiwahi Stand United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2018
Yondani aiwahi Stand United
Daktari wa kikosi cha Yanga Dk Edward Bavu amesema nahodha wa timu hiyo Kelvin Yondani amepona majeraha yake na leo ameanza rasmi mazoezi.

Yondani aliumia akiwa na timu ya Taifa ambapo majeraha hayo yalimfanya aondolewe katika kikosi kilichokwenda nchini Uganda.

Yondani anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoikabili Stand United kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara Jumapili ijayo.

Aidha Dk Bavu amethibitisha kuwa wachezaji wengine waliokuwa majeruhi, Abdallah Shaibu 'Ninja' na Juma Abdul wamepona na kuanza mazoezi leo

Mchezaji pekee ambaye bado ni majeruhi ni Juma Mahadhi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’