Yanga yaiwinda Stand United Kurasini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2018
Yanga yaiwinda Stand United Kurasini
Ligi Kuu ya Tanzannia Bara inatarajiwa kuendelea mwishoni mwa wiki hii baada ya kusimama kwa wiki mbili kupisha michuano ya Kimataifa iliyo kwenye kalenda ya CAF na FIFA.

Yanga itashuka dimba la Taifa Jumapili, Septemba 16 kuikabili Stand United.

Wachezaji wa mabingwa hao wa Kihistoria wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa, Benno Kakolanya, Gadiel Michael na Andrew Vicent tayari wamerejea kikosini kujiandaa na mchezo huo.

Mratibu wa kikosi cha Yanga Hafidh Saleh amesema wameendelea kujifua kwenye uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam.

Aidha Saleh amesema baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi wameanza kurejea kikosi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’