Sasa unaweza kusema Yanga haina hofu tena langoni kwani ina walinda lango bora kabisa.
Jana kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon Klaus Kindoki alikaa langoni na hakika Yanga imelamba 'dume' kwani huyu jamaa yuko vizuri.
Ujio wake, sambamba na kupona kwa Beno Kakolanya ambaye amerejesha makali yake, kunaifanya Yanga iwe na utulivu sana langoni.
Kocha wa makipa wa Yanga Juma Pondamali amesema Kindoki ni mmoja wa walinda lango bora kabisa aliowahi kuwafundisha.
Mlinda lango huyo aliyesajiliwa kutoka Dr Congo tayari amepata kibali cha kuweza kuitumikia Yanga kwenye michezo ya ligi.

ADVERTISE HERE