Cape Verde na Lesotho nazo zatoka sare AFCON

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Sep 2018
Cape Verde na Lesotho nazo zatoka sare AFCON
Cape verde na Lesotho zimetoka sare ya bao 1-1 kwenye mchezo mwingine wa kundi L wa kusaka tiketi ya michuano ya AFCON 2019 itakayofanyika nchini Cameroon.

Matokeo hayo yanaifanya Uganda iendelee kuongoza kundi L baada ya kujikusanyia alama nne ikifutiwa na Lesotho na Tanzania ambazo zote zina alama mbili.

Cape Verde iko nafasi ya nne ikiwa na alama moja.

Kikosi cha Tanzania ambacho jana kiliilazimisha Uganda suluhu ya 0-0 kimerejea leo jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’